Dawa za asili ni dawa ambazo zimetumika miaka mingi tutibu binadamu,wanyama samaki na ndege mfano kuku Bata kasuku kwalale na wengine wengi
Dawa hizi zimekuwa msaanda kwa wafugaji wengi kutokana na upatikanaji wake, dawa hizi hutokana na mimea, mimea mingi hapa duniani hutumika Kama dawa kwa sababu ya uwepo wa alkaloids ndani ya mimea hii,sehemu za mimea zinazotumika kutengenezea dawa ni mizizo,shina, msgome,majani na matunda
gusa hapa kusoma namna ya kuandaa dawa hizi kulingana na tatizo lililopo
Local
chicken medicine, wild chicken drug
Click picture to read jinsi ya kutumia dawa za asili GUSA PICHA UTAZIONA.
